Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
Mshahara umeingia kwenye account?Salary slip kwangu zinafunguka tu kwenye mfumo wa salary slip portal, ila huku kwenye ess sijawahi fungua ikakubali.
Nimeshajaribu mara nyingi tangu huko nyuma ila sijawahi fanikiwa.