Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mkumbuke mshahara huu wa march ndio unaenda kula Pasaka,Eid na kuwalipia watoto ada baada ya likizo hii fupi.
 
Woyooooo[emoji23][emoji23][emoji23] watumishi haya shime tukutane kwenye masinagogi yetu kwenye meza tuzungushe [emoji23]
mkale zote pasaka ikija mkakope mana mtumishi amekaa sana na hela siku 3
 
Hela si yetu, watugee bwana tusipangiane matumizi..
 
Back
Top Bottom