Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kwenye ESS mambo tayari ila account bado hazijasoma
Mbona salary slip kwenye ess baada ya view kukamilika, ikija open kitufe chake ukikibofya haifunguki?, inatakiwa nifanyeje ili niweze ku-open salary slip kwenye ess?
 
Mbona salary slip kwenye ess baada ya view kukamilika, ikija open kitufe chake ukikibofya haifunguki?, inatakiwa nifanyeje ili niweze ku-open salary slip kwenye ess?
Ukieka mwezi na mwaka unabonyeza view salary slips then chini utaona document inafunguka ndo hiyo salary slip.
 
😁😁😁 Usijipe matumaini, ushaukosa wenzako vitu vinasoma
Salary slip kwangu zinafunguka tu kwenye mfumo wa salary slip portal, ila huku kwenye ess sijawahi fungua ikakubali.
Nimeshajaribu mara nyingi tangu huko nyuma ila sijawahi fanikiwa.
 
Back
Top Bottom