Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hahahaaa, "kila mwezi mshahara unachelewa". Mkuu unatamani mshahara utoke tarehe ngapi kila mwezi?
 
Hao ma DED na ma HRO unajua walivyo miungu watu kwa walimu? kuna mahala wanafikia kuwambia walimu wavue viatu wanapoingia maofisini mwao! watumishi wa kada za chini wanapitia mengi sana toka kwa hao mabosi wao
Hahahahah.....nyanyasa kada zote sio walim, walim fasta wanakuchomea utapokea simu kutoka DODOMA ya karipio Kali

Huu ni uzoefu wangu, Bora unyanyase watu wa Afya sio walim Wana connection sana na CCM & DODOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…