Ijumaa ndiyo leo, ukipita leo hadi jumatatu, mambo ya kuwa vizuri mnishtue, natamani kusafiri kidogo weekend hii.Hadi ijumaa
Siku hizi unaanza kuingia mida ya saa 11 jioniIjumaa ndiyo leo, ukipita leo hadi jumatatu, mambo ya kuwa vizuri mnishtue, natamani kusafiri kidogo weekend hii.
Mapena sana niko karibu na kiswaswadu changu nasubiria.MMESHAFUFUA TAYARI? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tayari? Hapa nna kadi mkononiGusa achia twenzetu ATM
Weekend itakuwa ndefu balaa.Huu mwezi wadau mmepoa sana
Mhm, nacheza draft na wadau hapa sijaona sms ya NMB.Tayari nmb
Naona dalili japo sms haiji🤣🤣🤣Mhm, nacheza draft na wadau hapa sijaona sms ya NMB.
😂😂😂Wangetulipa leo ingependeza sana
Tukistaafu tunapewa kiinua mgongoJitahidi uwe na chanzo mbadala cha kipato, jipange kimaisha.Ipo siku itafika utastaafu