Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?
1. Kuwa na subira jamaa yangu, tarehe 25 imefika?
2. Tuache kutia aibu, tunaiabisha serikali so far utaratibu wa kuuliza unaujua, umemfuata HRO wako ameshindwa kukujibu, DED wako ameshindwa kukujibu? Why exposing issues ambazo zinawekeana kujibiwa na wahusika instantly?
3. Sio sawa, Utumishi wa Umma haupo hivyo!!!
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Nenda ATM kachukue mambo byee
 
Akili nyingine za ajabu sana,unaulizaje suala la Mshahara JF??na leo ni tarehe 22,mshahara si kuanzia tarehe 23?
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Tulia dawa ipenye.
 
Nimemkumbuka mwamba Mpwayungu.

Waalimu endeleeni kuisaidia CCM kuiba kura. Mzazi wangu kastaafu juzi ualimu, hilo rhumba analolisakata namuonea huruma. Siachi kumwambia kuwa aliisaidia CCM ktk simamizi za chaguzi alizoshiriki hivyo atamke neno nafsi yake ipone
 
Back
Top Bottom