Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Mbona sisi idara yetu tumekwisha letewa slipu na tayari zimeingia benki.
 
1. Kuwa na subira jamaa yangu, tarehe 25 imefika,
2. Tuache kutia aibu, tunaiabisha serikali so far utaratibu wa kuuliza unaujua, umemfuata HRO wako ameshindwa kukujibu, DED wako ameshindwa kukujibu? Why exposing issues ambazo zinawekeana kujibiwa na wahusika instantly?
3. Sio sawa, Utumishi wa Umma haupo hivyo!!!
Hao ma DED na ma HRO unajua walivyo miungu watu kwa walimu? kuna mahala wanafikia kuwambia walimu wavue viatu wanapoingia maofisini mwao! watumishi wa kada za chini wanapitia mengi sana toka kwa hao mabosi wao
 
Mimi ni mwalimu unategemea nafundisha vipi kama mshahara sipati Kwa wakati afu wataka tufaulishe vipi watoto?

Mpaka saizi saa saba kasoro mshahara bado na watu tuna majukumu. Watoto Nina mke na wazazi wananitegemea kila mwezi mshahara unachelewa tu afu wataka tusikope Kwa mangi?

Kama ndo hivyo kazi hii kwangu itakuwa ngumu saana siwezi fundisha nikiwa na njaa
Ngoma itakua kesho iyo
 
Back
Top Bottom