Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Alafu huku Jf kunawatu hamna akili ujue ilmradi mbishe tu. Wakati mwingine ni Bora kutetea watu. Watumishi hulipwa mishahara Yao tar 22 ya Kila mwezi sasa kutimiza mwezi c ni tar 22 ya mwezi ujao. Ishu hata kama wangekuwa wanalipwa tar 10 tunategemea mwezi ujao iwe tar 10 coz watakuwa wametiza siku 30Leo tarehe 22, mwisho wa mwezi si 31st