Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Utakuta mtu ana miaka 10 kwenye ajira lakini mshahara ukichelewa siku moja tu analalamika kweli tuna safari ndefu.
Kuna cha ajabu hapo? Kujua haki zako ni ishara ya kujitambua. Wewe kaa kimya uendelee kuburuzwa
 
Hizi slips zinatoka mapema kabla ya salary
Halafu hii sijaipatia kwenye salary slip portal, bali kwenye Employee Self Service (ESS)

1706012361707.png
 
Habari kiongozi, nkijisajili inaniletea error na maneno ya kwamba check number iko tayari registered wakati bado na ata nkienda kwenye forgot password inaniambia check number haiko valid
Njoo inbox
 
Habari kiongozi, nkijisajili inaniletea error na maneno ya kwamba check number iko tayari registered wakati bado na ata nkienda kwenye forgot password inaniambia check number haiko valid
Huko ofisini kwako wamekusajilia. Kuna ofisi ma hr hawana kazi wanafanya hata kazi zisizowahusu. Waambie wakupe password
 
Habari kiongozi, nkijisajili inaniletea error na maneno ya kwamba check number iko tayari registered wakati bado na ata nkienda kwenye forgot password inaniambia check number haiko valid
Inawezekana kuna mtu alijisajili kabla yako ka kutumia check number yako, na possibly kwa kutumia National ID yako. Bahati mbaya hizo details mbili (check number na NIDA) huwa sio siri, anayetaka kuzipata za mwingine anaweza tu akazipata na akazitumia kwa lengo ovu. Nashauri uende kwa mwajiri wako (HR Officer), wamepewa privilege ya kubadilisha profile information, so atareset password halafu akupe hiyo ya kuanzia. From there account itakuwa chini ya control yako, na huyo aliyeregister hataweza kulogin

1706013625701.png
 
Hivi watumishi wa siku hizi mmepatwa na nn yaani kitu kidogo tu mnarusha mitandaoni.
 
Daah hela ikichelewa siku mbili tu unataka kufa kama kuku wa kisasa daah...
 
Hakuna umasikini na laana mbaya kwenye maisha kama kuishi kwa kutegemea mshahara tu. Ni utumwa wa kisasa ambao ukichelewa kuustukia unakuwa katika hali mbaya sana baadae.
Hawataki kugeuza mshahara mtaji ila wamegeuza kuwa mshahara ni nguzo ya kukupea kwa mangi

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom