DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Huu ni uzi wa mshahara watu wanaleta ujinga ujinga tu mara UTT, mara kuwekeza vitu gani sijui... waache kuleta mambo ya kijinga kwenye huu uzi wa mshahara.Mnaongelea nn humu mbona siwaelewi? Topic kuu si mshahara au?
Acha uongo mkuuNimepita nmb hapa Rock City Mall naona walimu wamekaa makundi makundi tangu saa tatu asubuhi wanasubiri mshahara[emoji23] na kuna mwalimu mmoja namfahamu ndio akanisanua wanasubiri mshahara!!!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Umejuaje kama ni walimu mkuu?Nimepita nmb hapa Rock City Mall naona walimu wamekaa makundi makundi tangu saa tatu asubuhi wanasubiri mshahara[emoji23] na kuna mwalimu mmoja namfahamu ndio akanisanua wanasubiri mshahara!!!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Umeelewa nilichokiandika lakini!!?? Au umeshindia uji tangu asubuhi akili haiko timamu[emoji16]Umejuaje kama ni walimu mkuu?
Kweli makato teyariNaona makato kwenye ESS yameshasoma, mzigo unaingia soon
Mv Barcelona sijui kwanini hukupanda juziUmeelewa nilichokiandika lakini!!?? Au umeshindia uji tangu asubuhi akili haiko timamu[emoji16]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Kwangu mie mshahara tyr napokea exim ban
Ni huzuni sana[emoji23][emoji23]Nmekutana na Sajent mnaa wa Jeiwiii Leo anacheeekaa mambo yao safii kwa namna hii
TRAORE BONGO HATOKEI KABISAA
Mv Barcelona napanda ili niende wapi,mi wa hapa hapa kona ya bwiru na sasa niko Las Vegas kwa nje hapa nimeagiza kuku nusu na juisi ya embe[emoji23]Mv Barcelona sijui kwanini hukupanda juzi
acha kujitekenya, wewe ni mmoja wapo, vuta subraNimepita nmb hapa Rock City Mall naona walimu wamekaa makundi makundi tangu saa tatu asubuhi wanasubiri mshahara[emoji23] na kuna mwalimu mmoja namfahamu ndio akanisanua wanasubiri mshahara!!!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Yani mambo bulbul
Uweke na makange ya kitimotoSiku Yenu pendwa mpaka sisi kina Mangi -maduka tunafurahi ,dah jamani watumishi wa umma nyie ni waaminifu sana, sitaacha kuwapa vibubu vya unga na dagaa ,sasa nampango nifuate na kuku niwe nawakopesha
Wapumzisheni walimu 🤣🤣🤣Nimepita nmb hapa Rock City Mall naona walimu wamekaa makundi makundi tangu saa tatu asubuhi wanasubiri mshahara[emoji23] na kuna mwalimu mmoja namfahamu ndio akanisanua wanasubiri mshahara!!!
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Nikiwa rais lazima nihakikishe walimu wanapata heshima ya hali ya juu.Wapumzisheni walimu 🤣🤣🤣
Acha kutoa povu Kwa mambo madogo, utt imeathiri vipi kufuatilia mshaharaHuu ni uzi wa mshahara watu wanaleta ujinga ujinga tu mara UTT, mara kuwekeza vitu gani sijui... waache kuleta mambo ya kijinga kwenye huu uzi wa mshahara.
Mh hamna kitu kama hichoNiko makumbusho naona foleni ya watu kwenye ATM ya nmb