DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Mkuu huu ni uzi wa mshahara, upuuzi wenu wa UTT kauanzishieni uzi wenu... hapa tuna-discuss vitu vya msingi acheni ujinga 🤣😂Acha kutoa povu Kwa mambo madogo, utt imeathiri vipi kufuatilia mshahara
Najibizana na mtu anatumia Y5Umeelewa nilichokiandika lakini!!?? Au umeshindia uji tangu asubuhi akili haiko timamu[emoji16]
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
Mr. Consultant why shudnt u mind your own bigger plates??Niko makumbusho naona foleni ya watu kwenye ATM ya nmb
Ipo mstari mpaka huku wanaonjesha pop-cornNiko makumbusho naona foleni ya watu kwenye ATM ya nmb
Nimepita makumbusho natoka ofisini kwangu masaki, nimeona foleni ya watu kwenye ATM.Mr. Consultant why shudnt u mind your own bigger plates??
Sawa Mimi nilidokeza upuuzi wa utt maana Kwa ujinga wangu unaendana na huu Uzi! Case closed, haya umetoka ? Maana nasubiria nikapige bia zangu nne nilaleMkuu huu ni uzi wa mshahara, upuuzi wenu wa UTT kauanzishieni uzi wenu... hapa tuna-discuss vitu vya msingi acheni ujinga 🤣😂
Na ikawe ivoHapana mzigo utakua mkubwa mkubwa kdg.. Angalau nyama kilo 2
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo zamu yangu umeme. Sirudi home.
Wahaya naoNimepita makumbusho natoka ofisini kwangu masaki, nimeona foleni ya watu kwenye ATM.
Punguza hasira tafuta hela
Wapeleke hayo mambo UTT sijui UTI huko kwanza.Mkuu huu ni uzi wa mshahara, upuuzi wenu wa UTT kauanzishieni uzi wenu... hapa tuna-discuss vitu vya msingi acheni ujinga 🤣😂
Weka na maini na nyamaSiku Yenu pendwa mpaka sisi kina Mangi -maduka tunafurahi ,dah jamani watumishi wa umma nyie ni waaminifu sana, sitaacha kuwapa vibubu vya unga na dagaa ,sasa nampango nifuate na kuku niwe nawakopesha
Unavyopenda maini sasa 😆Weka na maini na nyama
She go no where coz she sells her filthy dick!Mr. Consultant why shudnt u mind your own bigger plates??
Vp Kuna ongezekoKwangu mie mshahara tyr napokea exim bank
Mkuuu hakuna anaekujua huku be freeWameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwaka
Watu tuko na heshima zetu wanaleta ishu za ki wackWapeleke hayo mambo UTT sijui UTI huko kwanza.
Ulimbukeni wa simu ndio huwa sina we mama,we endelea kusubiri makombo ya ccm ya tsh 650,000 take home ndio maana uko humu unapiga mayowe na hapo unakuta una Samsung ya mkopo ndio maana akili ya kujiongeza nje ya mshahara huna akili kisoda imefikia mwisho hapoNajibizana na mtu anatumia Y5
View attachment 3414581
HahahaWatu tuko na heshima zetu wanaleta ishu za ki wack