DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Vipi kuhusu aircraft maintenance engineer?Ni kwelii hakuna Ada ya chini ya 1m.. pia masomo yake kama una kichwa panzi hutoboi niseme ukweli.
Uhakika hiyo.. ukimaliza unaingia kazini.. labda uwe mchovu sana ndio utakaa benchi.. kuna jamaa yangu yeye amesomea Ukraine kabla ya Vita.. maana kule ndege ndio nyumbani kwake.. wapo vzr.Vipi kuhisu aircraft maintenance engineer?
naona pale NIT diploma ada milion 5 kwa mwaka wakati bachelor milioni 6 kwa mwaka๐๐
Nahisi graduate wake ni cake
Ngoja nijipange kwa ajili ya vijana wangu kama vichwa vitaiua vzr maana hiyo kozi bila shaka uwe vizuri kichwani asa sayanso subjectsUhakika hiyo.. ukimaliza unaingia kazini.. labda uwe mchovu sana ndio utakaa benchi.. kuna jamaa yangu yeye amesomea Ukraine kabla ya Vita.. maana kule ndege ndio nyumbani kwake.. wapo vzr.
Anhaaaaa....Na je unaweza Kua rubanii kupitia course hiiHii course navyokumbuk ni kama wiki 16 hivi..
Na moja ya qualifications uwe umefika A level na uwe na principle passes za Physics, Math, geography etc..
Hii kitu ni ngumu kias na ina license yake..
Majukumu yake ni kama kiungo mchezeshaji.. yaan mambo yote ya kuhusu ndege, mfn flight plan ambazo maruban wanatumia, weight and balance maswal technical ya ndege, calculations za mafuta kupangia maruban schedules etc..
Kingine soko lake la ajira sio TZ tu ni WORLD WIDE. so unawez soma Tz ukaenda fanya kazi Dubai. Ww tu utakapoona kuna fursa.
Dg wako akisafiri andika maumiv.hmatapewa io posho.Mfano ni mimi.. hapa nina kipengele cha kama 6m natakiw nikisolve๐ yaan posho ndio itaamua hatma ya Maisha yangu hii July..
Habari ndugu.hiv unazarau tunavokeshq na upepo huu wa kisulisuli.kuingiza payrol zenu.unatulipa?Hadi sasa saa 8:08am bado.. Huyu Accountant wa Hazina afukuzwe kazi
Kubonyeza ENTER tu kwenye kibodi mnataka mpewe overtime? TulipeniHabari ndugu.hiv unazarau tunavokeshq na upepo huu wa kisulisuli.kuingiza payrol zenu.unatulipa?
Vipi kuhusu vyeo vipya mnavilipa mwezi huu!!?Habari ndugu.hiv unazarau tunavokeshq na upepo huu wa kisulisuli.kuingiza payrol zenu.unatulipa?
Wakikujibu nitag๐บ๐บ๐บ๐บ๐ช๐ช๐ช๐ถ๐ถ๐ถ๐ถ๐Vipi kuhusu vyeo vipya mnavilipa mwezi huu!!?
Tayari ishasoma..๐Dg wako akisafiri andika maumiv.hmatapewa io posho.
Sure, 9:27am bado matokeo yake yalempaka sasa ni 09:10 ubao unasoma 0 0
Hapana.. kuna utofauti mkubwa.Anhaaaaa....Na je unaweza Kua rubanii kupitia course hii