Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari/Bado?Kumekuchaaa
Bado tajiri. Ngoja tusubiri ila uyu Accountant wa zamu jau sana.
Hapa koo limekauka balaa, ninachungulia kila baada ya dakika 5Bado tajiri. Ngoja tusubiri ila uyu Accountant wa zamu jau sana.
Attachments za Nini Mzee mwendo wa mnyooko tu ....mi pepmis nna asilimia 100 na Sina attachment hata Moja kubaaabanyeeeeee.....Mbinu za kivita hizi.
Usikute muhusika wa kubonyeza button moja tu nae anasoma hizi replies.Hapa koo limekauka balaa, ninachungulia kila baada ya dakika 5
Vichwa vinawaka moto balaa..... Yaani tungekuwa tunatembea mawazo yetu yanasomeka kama vile maandishi ya kwenye katuni .... Unaweza kucheka mpaka ukajishikilia kwenye nguzo.....Usikute muhusika wa kubonyeza button moja tu nae anasoma hizi replies.
Ngoma ngumu .....10:51 Bado...
Hahaa ungejiona unaafashali ukikutana na raia wengineVichwa vinawaka moto balaa..... Yaani tungekuwa tunatembea mawazo yetu yanasomeka kama vile maandishi ya kwenye katuni .... Unaweza kucheka mpaka ukajishikilia kwenye nguzo.....
Au ndio tusubiri jioni?Hawa wangese wanafelii 24 na Bado hamna dalili?
Hapa sio siri chungu kimeishiwa,, Kuna mwezi huyu mama atakuja kutupiga bila bilaAu ndio tusubiri jioni?
Sitaenda kaziniHapa sio siri chungu kimeishiwa,, Kuna mwezi huyu mama atakuja kutupiga bila bila