K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Wanajivika kwenye mwamvuli huo ili ioneshe hilo ni tatizo lililoathiri Taifa kumbe ukweli ni mtaa tu ulioathirika.Sasa mkuu mgomo wa Kariakoo usababishe waliopo Halmashauri ya Muleba wasilipwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajivika kwenye mwamvuli huo ili ioneshe hilo ni tatizo lililoathiri Taifa kumbe ukweli ni mtaa tu ulioathirika.Sasa mkuu mgomo wa Kariakoo usababishe waliopo Halmashauri ya Muleba wasilipwe.
Dah maisha yamekazaWanajivika kwenye mwamvuli huo ili ioneshe hilo ni tatizo lililoathiri Taifa kumbe ukweli ni mtaa tu ulioathirika.
Hapa huku kitaa kuna wadau wengi wanaulizia kila baada sekunde kadhaa, wengine wanasema kesho hawataenda kazini kama leo hawatapata haki yaoDah maisha yamekaza
Hahaha mm nilizani walimu. Tu ndo tunasunir mshahara? Any way tupo likizo waweke turud vijijin. KwetuHapa huku kitaa kuna wadau wengi wanaulizia kila baada sekunde kadhaa, wengine wanasema kesho hawataenda kazini kama leo hawatapata haki yao
Ya kweli haya?Thanks Allah...
Nimewekewa mshahara wangu.
Hii haiwahusu nyie walimu pekee, watumishi wengi wasiokuwa kwenye nafasi za teuzi toka juu, wengi wanahitaji mzigo ili uwasaidie kutatua bills za hapa na pale.Hahaha mm nilizani walimu. Tu ndo tunasunir mshahara? Any way tupo likizo waweke turud vijijin. Kwetu
Vyeo vipya wakat wewe mwenyewe umebadilisha kada.lazima ukae miaka 3 ndio uanze kufikiriwa promotion nayo itategemea.pemps.yako kama inaridhishqVipi kuhusu vyeo vipya mnavilipa mwezi huu!!?
Kwanza umekamilisha PEPMIS..?Mbona kwangu bado
Tayari mkuu, fanyeni mtulipe.Kwanza umekamilisha PEPMIS..?
Me hamu ya connection sina nikiwa sina helaMi naumia sana, mshahara sijapata na video ya mbunge sijapata naumia sana. Nipeni hata kavideo hako nijiliwaze kudadeki
Hii issue ishakua seriousMwigulu katuamulia dadeki!
Hadi kieleweke.Mwigulu katuamulia dadeki!
Watu wajifunze kuwa na adabu ya matumizi ya pesa,haiwezekani mtu mzima unashindwa kupangilia BAJETI kwa muda wa mwezi mmoja tu,halafu baadhi ya watu wanawacheka wanafunzi wa vyuo,wanaotapanya boom.Mwigulu katuamulia dadeki!