Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Watu wajifunze kuwa na adabu ya matumizi ya pesa,haiwezekani mtu mzima unashindwa kupangilia BAJETI kwa muda wa mwezi mmoja tu,halafu baadhi ya watu wanawacheka wanafunzi wa vyuo,wanaotapanya boom.

Huelewi kitu ww. Nani kakwambia watu wameishiwa? Watu wanataka ujira wao wa kutumikia wananchi kwa kufanya kazi. Usije kufikiri watu wote wakitaka Mshahara wao basi wameishiwa no ni haki yao na jasho lao
 
Watu wajifunze kuwa na adabu ya matumizi ya pesa,haiwezekani mtu mzima unashindwa kupangilia BAJETI kwa muda wa mwezi mmoja tu,halafu baadhi ya watu wanawacheka wanafunzi wa vyuo,wanaotapanya boom.
Mkuu mshahara wa laki tano -nane utabajetia lakini hutoboi. Labda useme tutafute vyanzo vingine vya mapato!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…