reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Hongereni
Sisi wengine mwakani Mungu akipenda
Kiukweli maza kwa hapo apewe maua yake
Binadamu yule hajakamilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongereni
Labda kama kapanda daraja.Jamaa yangu kaniambia ameona ongezeko la 120K kwenye salary slip yake
Sio daraja, kwa scale zao daraja ingesoma around 1MLabda kama kapanda daraja.
Mimi nimeangalia salary slip yangu huko ess sijaona nyongeza yoyote
Sawa mjenda.Kwa jeshi hamna ongezeko , sijui uko kwingne
Ya apo Kibo...huyo labda kapata Ofa huku bil bilaKuna teacher namwona hapa Dagaa dagaa anakunywa castle lite wakati wiki nzima alikuwa anabugia sungura.
Hizi ni dalili njema kwamba umetoka.
CRDB slip sijaona ktk Ess sidhan kama kuna ukwelWanadai CRDB salary slip tayari zinasoma, ila benki bado
Hahahahaaa..... jamani[emoji23][emoji23][emoji23] tunakutana tena tarehe 21 next month.
Ninachokuambia ni kweli kabisa, imeongezeka 120K kamili kwenye ESSCRDB slip sijaona ktk Ess sidhan kama kuna ukwel
Wewe upo pazuriKaka mie niliko posho ya kila mwezi kwa ajili ya kodi na chakula ni 700K na ni fixed apo mbali ima mshahara na posho za vokal.
Labda baadhi ya kada huenda wamepata nyongeza.Sio daraja, kwa scale zao daraja ingesoma around 1M
Inawezekana ni nyongeza tu, hawa wenzetu wa taasisi za elimu ya juu wana kaunafuu kidogoLabda baadhi ya kada huenda wamepata nyongeza.
Sawasawa, hapo nimekuelewa.Inawezekana ni nyongeza tu, hawa wenzetu wa taasisi za elimu ya juu wana kaunafuu kidogo
Uyo kishua uyoJamaa yangu kaniambia ameona ongezeko la 120K kwenye salary slip yake
Umesema kwa uchungu sana mkuu.. dahTuliopo active kwenye huu uzi ni wale tuliopo kwenye LOCAL AUTHORITIES ila sidhani kama kuna mtumishi wa SHIRIKA LA UMMA yupo humu unless kupitia tuu posts na comments za wenye tumishahara tuduchu kama sisi.
Wanakula cake ya TaifaMnapewa mpaka posho ya chakula mnaenjoy balaa!
Wengine ni wapenzi watazamaji, tunasoma comments tu, zingine zinafurahisha na tunaongeza sikuNyie 17 People mliopo hapa tunaomba mseme neno tujue tupo pamoja. Msiwe observers tu.