Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Simu huwa haionyeshi
 
Nimejaribu kwa tablet inagoma kudownload salary slip
 
Shukrani. Ngoja nicheki.
 
Wengine hapa hatutumii Io ESS
 
Ukiingia ess ukacheki kwenye mikopo yako utaona kama mwezi huu wamekatq teyari. Na utajuaje utajua kama unakawaida ya kuangalia mikopo yako iliyopo ni kiasi gani kwahiyo kama umeshakalili mwezi huu utaona mkopo umepungua
Mkuu Sisi taasis yetu haitumii ESS
 
Tuna lakusema basi tumewaambia familia wamwage maharage yote,tunakuja na kitoweo.Hapa ni kupitia figiri ,chainizi na kuchanganya na mchicha tu siku iishe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…