Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hapa ndio nilikua nashangaa
Maana najua salary slip inatoka baadae
Yani namie nimeshangaa sana slip ya July Nimeangalia baada ya kusoma koment ya jamaa hapo juu kuangalia ikakubali wakati siku zote nikiangalia tarehe za mshahara hata Siku mbiltatu huwa inagoma hadi siku nne tano mbele

Cc Smart911[/QUOTE]
 
Kesho utasoma, mliokopa kwa mangi kumbukeni kulipa madeni, pia ni muhimu kujipongeza kwenye viti virefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…