New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Hapa ndio nilikua nashangaaEss salary slip za July zimekosewa wakuu nahisi wanarekebisha hilo kwanza
Sijajua ni Kwangu tu ama na Kwa wengine
Hebu nanyie angalieni kwanza
Afu wanatoaje slip na hawajaingiza mshiko doh!
Smart911
Maana najua salary slip inatoka baadae