Huku nafikiri ndio mboga za mkoa.Utambulisho ni figiri na maharage mkuu.
Acha basi..Hatimaye
Izo huduma luxury situmii. DSTV wamenipigia simu hadi wamechoka.na azam wameongeza chumv kwnwye kidonda.wanasem mwez ujao vifurush vinapanda
We unaijua Figiri? Dah Msapulo. Oya ngoja niombe likizo nirudi IR.Utambulisho ni figiri na maharage mkuu.
Umekuaje siku hizi ww. Mbona unadanganya?Kwaherini Jamani tukutane mwezi ujao
Pamoja mwamba macho yote tuyaelekeze benki Kwa SASA.Huku nafikiri ndio mboga za mkoa.
hizo mboga nikienda mashine tatu zimejaa.bora niende kihesa huko nikale supu ya utumboHuku nafikiri ndio mboga za mkoa.
Kihesa ndio naishi nikipita hapo sokoni wananikatia mchanganyiko wangu wa jero freeesh.hizo mboga nikienda mashine tatu zimejaa.bora niende kihesa huko nikale supu ya utumbo
Makanyagio..Kihesa ndio naishi nikipita hapo sokoni wananikatia mchanganyiko wangu wa jero freeesh.
USITOKEsijaona sms vipi mambo fresh au niendelee kukaa ndani?
the only sms nmb wanakutumia ya mshiko fastasijaona sms vipi mambo fresh au niendelee kukaa ndani?
Au tunza namba ya sirithe only sms nmb wanakutumia ya mshiko fasta
Kama serikali ingekuwa stable kwenye makusanyo, wangeweka tangazo kuwa tarehe rasmi ya mishahara ni tarehe 24 ya kila mwezi. Wakahakikishe inakuwa hivyo, nyuzi kama hizi zitapotea zenyewe tu. Hili lipo hata kwenye magroup ya watumishi, tunaulizana mishahara balaa.Hahaha tatizo wanafanya kama wanatusaidia wakati jasho letu.