Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crdb bila bila!Kama kuna mtu amepata tafadhali atoe ushuhuda. Mlisema tutakufa wote vipi sahivi hatuwaoni?
We jamaa ni muongo. Kwenye ESS huwezi kuona kiasi ila unaweza kuona badiliko la daraja. Badiliko la kiasi cha fedha kinaonekana account ya bank kulingana na mabadiliko ya daraja Sasa hiyo 150K kwenye ESS kaiona vipi ?Ninachokuambia ni kweli kabisa, imeongezeka 120K kamili kwenye ESS
ess salary slip ya julyWe jamaa ni muongo. Kwenye ESS huwezi kuona kiasi ila unaweza kuona badiliko la daraja. Badiliko la kiasi cha fedha kinaonekana account ya bank kulingana na mabadiliko ya daraja Sasa hiyo 150K kwenye ESS kaiona vipi ?
Hukuwa na haja ya kuniita muongo. Ukichukua salary slip ya June na July kwenye ESS utashindwaje kuona ongezeko la mshahara? wapi nimesema ni badiliko la daraja? Kwa nini niseme uongo humu JF? Nimeandika 120K na si 150KWe jamaa ni muongo. Kwenye ESS huwezi kuona kiasi ila unaweza kuona badiliko la daraja. Badiliko la kiasi cha fedha kinaonekana account ya bank kulingana na mabadiliko ya daraja Sasa hiyo 150K kwenye ESS kaiona vipi ?
negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ? Ambayo ni extension data bridge tu wala haina mandate ya financial database ya hazina, mpaka itumwe toka hazina.ess salary slip ya july
Basi mkuu umeshinda wewe, yaani kwenye ESS mpaka makato yako yote ya July sasa hivi yanaonekana na benki akaunti haijasoma. Nini cha ajabu hapo?negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipit ?
Ngoja nikutumie kwa ridhaa yake uridhikenegative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ?
Mama Samia hoyeeeeeeenani kama mama?
Kiapo Sio Kwa ajira za majeshi tu zipo taasis ambao Sio za kijeshi Na wanakula kiapoMkuu kiapo kwa ajira za majeshi ziko pale pale....ukiachana na wanasiasa wanaoapishwa na Rais ajira za majeshi pia Zina kiapo, mimi nna miaka 9 sasa na tuliapa. Anyways Kuna transformation serikali imeruhusu recently hizi idara zake kuwa mamlaka au shirika. Ndio hicho nilikuwa nauliza, mkitoka serikalini kama idara fulani kuwa mamlaka, au shirika basi huko mshahara wake ni mnono kwakweli.
nitashukuru kujifunza jambo hili geni kua ESS data bridge inapataje taarifa bila kua fetched/dispatched na hazina ?Ngoja nikutumie kwa ridhaa yake uridhike
HamjasahaulikaKwahiyo huku Local Govt Wametusahau au vipi?
slip uwa zinatangulia kama hujuii 😀 😀 😀negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ? Ambayo ni extension data bridge tu wala haina mandate ya financial database ya hazina, mpaka itumwe toka hazina.
Mkuu mbona unakaza hivyo, hata mimi naiona slip ya July ESS na mshahara bank bado haujasoma...negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ? Ambayo ni extension data bridge tu wala haina mandate ya financial database ya hazina, mpaka itumwe toka hazina.
Yani data zinaingizwaa ndo helaa zitakujaaa😀😀😀 Unaingiziwa according to datanitashukuru kujifunza jambo hili geni kua ESS data bridge inapataje taarifa bila kua fetched/dispatched na hazina ?