Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Yeah kungekua na siku moja tu.
 
Mkuu kiapo kwa ajira za majeshi ziko pale pale....ukiachana na wanasiasa wanaoapishwa na Rais ajira za majeshi pia Zina kiapo, mimi nna miaka 9 sasa na tuliapa. Anyways Kuna transformation serikali imeruhusu recently hizi idara zake kuwa mamlaka au shirika. Ndio hicho nilikuwa nauliza, mkitoka serikalini kama idara fulani kuwa mamlaka, au shirika basi huko mshahara wake ni mnono kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…