Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kama serikali ingekuwa stable kwenye makusanyo, wangeweka tangazo kuwa tarehe rasmi ya mishahara ni tarehe 24 ya kila mwezi. Wakahakikishe inakuwa hivyo, nyuzi kama hizi zitapotea zenyewe tu. Hili lipo hata kwenye magroup ya watumishi, tunaulizana mishahara balaa.
Yeah kungekua na siku moja tu.
 
Kuna vertical, lateral and horizontal... Yaani unahama Kwa kimuundo, kitaasisi ama kicheo(simamizi) ..unaongelea nini.... Nipo kazini mwaka wa 16 huu.... Na ninasimamia wengi tu... Sisi ndio tulikuwa ajira ya mwisho kula KIAPO ... SIKU HIZI WANAPANGIWA TU KAZI ... WANAAPA WAPI!!? .. SISI TULIKULA KIAPO...
Mkuu kiapo kwa ajira za majeshi ziko pale pale....ukiachana na wanasiasa wanaoapishwa na Rais ajira za majeshi pia Zina kiapo, mimi nna miaka 9 sasa na tuliapa. Anyways Kuna transformation serikali imeruhusu recently hizi idara zake kuwa mamlaka au shirika. Ndio hicho nilikuwa nauliza, mkitoka serikalini kama idara fulani kuwa mamlaka, au shirika basi huko mshahara wake ni mnono kwakweli.
 
Back
Top Bottom