Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ninachokuambia ni kweli kabisa, imeongezeka 120K kamili kwenye ESS
We jamaa ni muongo. Kwenye ESS huwezi kuona kiasi ila unaweza kuona badiliko la daraja. Badiliko la kiasi cha fedha kinaonekana account ya bank kulingana na mabadiliko ya daraja Sasa hiyo 150K kwenye ESS kaiona vipi ?
 
We jamaa ni muongo. Kwenye ESS huwezi kuona kiasi ila unaweza kuona badiliko la daraja. Badiliko la kiasi cha fedha kinaonekana account ya bank kulingana na mabadiliko ya daraja Sasa hiyo 150K kwenye ESS kaiona vipi ?
Hukuwa na haja ya kuniita muongo. Ukichukua salary slip ya June na July kwenye ESS utashindwaje kuona ongezeko la mshahara? wapi nimesema ni badiliko la daraja? Kwa nini niseme uongo humu JF? Nimeandika 120K na si 150K
 
ess salary slip ya july
negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ? Ambayo ni extension data bridge tu wala haina mandate ya financial database ya hazina, mpaka itumwe toka hazina.
 
negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipit ?
Basi mkuu umeshinda wewe, yaani kwenye ESS mpaka makato yako yote ya July sasa hivi yanaonekana na benki akaunti haijasoma. Nini cha ajabu hapo?
 
Kiapo Sio Kwa ajira za majeshi tu zipo taasis ambao Sio za kijeshi Na wanakula kiapo
 
slip uwa zinatangulia kama hujuii πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mkuu mbona unakaza hivyo, hata mimi naiona slip ya July ESS na mshahara bank bado haujasoma...
 
nitashukuru kujifunza jambo hili geni kua ESS data bridge inapataje taarifa bila kua fetched/dispatched na hazina ?
Yani data zinaingizwaa ndo helaa zitakujaaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Unaingiziwa according to data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…