Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Riba ipo compaunded kwa kila mwaka ...Miaka inavyokuwa mingi inazidi kuongezekaMmmh sidhani mkuu umeongea kinadharia sana
Riba si ni zile zike around 12 mapak 15%per annum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Riba ipo compaunded kwa kila mwaka ...Miaka inavyokuwa mingi inazidi kuongezekaMmmh sidhani mkuu umeongea kinadharia sana
Riba si ni zile zike around 12 mapak 15%per annum
Niamini mimi. NMB baada ya saa chache wataanza kuonaSio kweli
Huu ni utabiri au matarijioNiamini mimi. NMB baada ya saa chache wataanza kuona
Kaa kwa kutulia. Salary bado ikiwa tyr utaiona tu mkuuCRDB TAYARI
30 mins ago umeingia. Wewe upo serikali gani.Kaa kwa kutulia. Salary bado ikiwa tyr utaiona tu mkuu
Hahahaaa. LolNapenda kutangaza Taarifa, sio nzuri ila ndio ivyo inabidi tuipokee..
Siku ya leo Tarehe 23 July 2024 mshahara haujaingia.
Naomba tuendelee na hali ya utulivu hadi kesho. Pamoja sana.
Daah.Mi nimeona salary slip ya July haina tofauti na June. Pesa ile ile
Daah! Hivi uko serious kweli Mkuu? LolHatari kuna mtu alikuwa ananitania ushasoma ,mi nikachukulia serious .Nikatoa amri wamwage maharagwe yote ,ntakuja na mboga.Ni kamzozo😄😄
Mkuu usiongeze bei ya bati tafadhali😀😀😀Vipi mmeongezewa chochote kwenye mshahara? Nataka kuongeza bei kidogo ya bidhaa kwenye biashara zangu
Kwa nini asichukueUsichukue huu mkopo.
#YNWA
Naomba niwaongezee elfu 3 tu kwa kila bati moja nyie mama anawapenda kashawaongezea mshahara ila hamsemi ngoja niongeze bei kidogo ya bidhaaMkuu usiongeze bei ya bati tafadhali😀😀😀
Itakuwa vibali vya utumishi bado, wakipata kibali wanaingiza nyongeza yote kwa mkupuo chifuhakuna increment
Bado sema watu jau wanazingua sana.. Kidogo niite boda niende ATM ningemlipa nn sijuiVp huko tayari?
Mkuu mkopo wa Miaka 9 ? Mil 30 aisee utawafanyia kazi bank miaka 9+ hapo makato almost 550 kwa mweziKwa nini asichukue