Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kapata leo asubuhi kazima na Data.
Weeee thubutuuuu... Niliangalia three times bilabilaaa kwenye jero imebaki 200 nakule kalikopo wanazidi kukata nyiee 😅

Sitaki ujinga saivi Nasubiria update hapahapaa 🙇🙇🙇🙇😂😂😅

CC Smart911
 
Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
 
negative, hakuna ukweli juu ya usemalo salary slip hutolewa baada ya dispatched salary notice ya hazina ambayo mpaka mda huu haijatoka, yeye hiyo slip kaipata vipi ESS ? Ambayo ni extension data bridge tu wala haina mandate ya financial database ya hazina, mpaka itumwe toka hazina.
Hua ni hivyo ila mwezi huu ni tofauti
Mm mwenyewe nimeangalia Leo asubuhi kwenye ess , ni kweli salary slip imeshatoka ingawa pesa ilikua bado kuingia kwenye account
 
Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
Tusamehe nkuu
Tumekosa
Tumekosa sisi
 
wakuu mshahara bado ila unaweza kuona salary slip kupitia mfumo wa ESS muda huu. Nadhani hazina wameshaachia pesa katika mabenki ni wao kufanya process ili mshahara uingie kwa kila mmoja. Mi nimeona na nimeona daraja nimepanda bila annual increment. So km unataka kujua nini ni nini ingieni muone salary slip kwa kutumia kishkwambi au computer sim kwangu naona imegoma sijui simu za wengine jaribuni.

Mama anaupiga mwingi
Yaaah Simu Huwa haikubali kupakua salary slip via ESS,, but mpaka Sasa hivi wengi wao washapata mishahara..
 
Kuna vertical, lateral and horizontal... Yaani unahama Kwa kimuundo, kitaasisi ama kicheo(simamizi) ..unaongelea nini.... Nipo kazini mwaka wa 16 huu.... Na ninasimamia wengi tu... Sisi ndio tulikuwa ajira ya mwisho kula KIAPO ... SIKU HIZI WANAPANGIWA TU KAZI ... WANAAPA WAPI!!? .. SISI TULIKULA KIAPO...
Sisi taasisi yetu kabla ya kuingia kazini tulikuwa na seminar kubwa bila kusahau TULITHIBITISHA/TULIAPA
na hata haijafika miaka 5
 
Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
Server inajaeje na ikijaa ina madhara gani? Ni lini hapa jf server iliwahi kujaa? Hata server ikijaa kwani ni ya mama yako kwamba utapa hasara? Punguza shobo Uzi haukuhusu kmmamae zako..
 
Huku mpaka mida fulani ya saa 4 asubuhi ilikua bado rafikiiiiiii sijaangalia tena . Nilinunua vocha ya jero ya kuangalizia salio simbanking naona imebaki 200 siangalii tena hata mniue rafiki mpaka mnihakikishie maishaaaa😂😂😂😁!

Cc Smart911
Jaribu ya mwisho rafiki. 🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️
 
usitupangieee wapi tudai helaa zetuuu..!!
Shida watumishi wengi hamuendi kwenye mafunzo madhara yake ndio hayo sasa mnaropoka hata yasiyofaa kuongeleka mbele ya jamii kufanya mapenzi na mke wako ni halali kwa dini zote ila huwezi kufanya hadharani watu wakiwa wanaona hivyo busara ni muhimu kijana.
 
Back
Top Bottom