Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Jamaa hajakutukana. Kakijibu vizuri. Kakwambia kwani server ni za mama yako? We ndiyo ulianza kwa kuita tunaoulizia mshahara wajinga/ujinga na nonsense.
Naona walimu mnateteana mmeitana kabisa mnadhani mmepata mtu wakumtolea stress zenu angalia nani kaanza ku mqoute mwenzake mi nimetoa mawazo yangu kama nyinyi mnavyotoa shida ya walimu mnadhan kila mtu ni mwanafunzi.
 
Kila uzi sio lazima usome. Jukwaa huru ili acha stress, nenda jukwaa la ajira na tenda subiri interview za polis.
We hata uelewi unachoongoa huu uzi ni wa mda mrefu walimu wameufukua kwasababu mshahara umechelewa na ndio mwanzo wa hoja yangu huu uzi sio mpya ni wa mda mrefu ndio maana nimesema kuna ulazima kila mshahara ukichelewa kuja kutia huruma humu kama mayatima yaani leo itaneni walimu wote mje ila acheni ushamba swala la mshahara ni swala binafsi na kama ni swala la kila mtu basi muweke na attachment za salary slip zenu hapa tuone mnavyobaki na laki mbili baada ya Makato kama hamuwezi ku attach salary slip uzi ufungwe.
 
Acha makasiriko kwenye maisha binafsi ya watu wengine. Humu kuna wengi tunasoma na kutania, na wapo walio serious, ila pia kuna wapenzi watazamaji kibao tu. Kuna mambo wala yasikupe shida kabisa
Mimi tena nna makasiriko na watu wanaolia lia mshahara kuchelewa siku mbili jiangalie vizuri kabla ya kukoment wekeni salary slip zenu hapa kama kweli kila kitu ni cha kukipandisha mitandaoni .
 
Naona walimu mnateteana mmeitana kabisa mnadhani mmepata mtu wakumtolea stress zenu angalia nani kaanza ku mqoute mwenzake mi nimetoa mawazo yangu kama nyinyi mnavyotoa shida ya walimu mnadhan kila mtu ni mwanafunzi.
pwilo mkuu ,sijaona umuhimu wowote wa kuwashambulia watu kisa reaction zao juu ya comment Yako ya awali kabsaa ambayo hata Mimi niliisoma hapa.

Humu Kuna mada nyingi sana na zipo katika hisia tofautitofauti kulingana mahitaji Yako au yetu sote. Ni jambo zuri iwapo Kila mtu akachagua upande anaouona yeye kuwa ni WA watu watu wenye akili nyingi,wajinga,wapuuzi,maskini ,matajiri n.k kama yeye.

Uhuru ni kitu muhimu sana. Acha watu waelezee hisia zao katika mifumo tofauti.
 
We hata uelewi unachoongoa huu uzi ni wa mda mrefu walimu wameufukua kwasababu mshahara umechelewa na ndio mwanzo wa hoja yangu huu uzi sio mpya ni wa mda mrefu ndio maana nimesema kuna ulazima kila mshahara ukichelewa kuja kutia huruma humu kama mayatima yaani leo itaneni walimu wote mje ila acheni ushamba swala la mshahara ni swala binafsi na kama ni swala la kila mtu basi muweke na attachment za salary slip zenu hapa tuone mnavyobaki na laki mbili baada ya Makato kama hamuwezi ku attach salary slip uzi ufungwe.
Kwani ualimu Sio kazi
 
Back
Top Bottom