Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Wakiweka slip hapa utakimbia Kwa presha usizan wote wanaouliza hapa wako kama unavofikiriaMimi tena nna makasiriko na watu wanaolia lia mshahara kuchelewa siku mbili jiangalie vizuri kabla ya kukoment wekeni salary slip zenu hapa kama kweli kila kitu ni cha kukipandisha mitandaoni .