Inawezekana kuna changamoto kwenye mfumoHata wa NMB baadhi ya taasisi bado mpaka muda huu.
Nini kifanyike?Vijana 2,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?
Kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji ni muhimuVijana 3,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?
La sivyo mtawaona kuwa masikini kwa lazimaπππππππππππππ
Vijana 33,000,000 wa Tanzania ni Hawajui Mfumo twende kwa pamoja kuwasifiaπππππ... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!? - Wakondeane SanaInawezekana kuna changamoto kwenye mfumo
ZimeishaMnafanya nn humu?
Naona teyari muda huu.Inawezekana kuna changamoto kwenye mfumo
Acha utani mkuu!Amechukua maamuzi magumu sana ya "Kujinyonga baada ya Kucheleweshewa mishahara na mipango yake kutokukamilika" - Gazeti, TV na Radio sijui kama wataipata hii habari leo
View attachment 3079856
Vip tena?Amechukua maamuzi magumu sana ya "Kujinyonga baada ya Kucheleweshewa mishahara na mipango yake kutokukamilika" - Gazeti, TV na Radio sijui kama wataipata hii habari leo
View attachment 3079856
Babu una mawazo mazuri Sana Na ushauri mzuri sanaMkuu usijali kuhusu ushindani, tafuta Kinyozi mzuri atakuletea hiyo 60 ama 50k Kwa wiki.
Mimi Kuna sehemu nimemfungulia waifu kwaajili ya kupata hela zake za kuchezea Vikoba.
Kwahiyo anaisimamia yeye mwenyewe ili kuhakikisha anapata hela za kuchezea mchezo wake
Nashukuru Mjukuu........sasa ndiyo ufanye mpango uniletee Kiko Babu yako, nina arosto ujue π€Babu una mawazo mazuri Sana Na ushauri mzuri sana
Usikonde babuNashukuru Mjukuu........sasa ndiyo ufanye mpango uniletee Kiko Babu yako, nina arosto ujue π€
Wimbo ulikuwa mzuri ulihitaji Video Queen kama JEJEAcha utani mkuu!
Nasubiria Mjukuu π€Usikonde babu
Mkuu Nina shida na ww .. tunaeza zama pmmshahara upi mkuu
sisi tanesco mbona tayari