Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Wafukuzwe kazi kwa kosa la kutegemea mshahara

Wakajue Maisha ni magumu hatupo kusikiliza story za watumishi wa umma tuu

Wakajue watanzania wengi hawana Ajira


Wakajue ni kamchezo ka Tanzania pekeyakeee hata Japani hawafuatilii la sivyo (Angeagiza Gari Japani wangemdharau na lisingekuja Tanzania)

Nimeagiza Hii, BMW Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono


1724587290361.png
 
Nimeagiza Hii, VX Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono

Kweli "Nchi Haiwezi kufanikiwa ikifanya Mambo yake pekeyake"

1724587684610.png
 
Nimeagiza Hii, BMW Japani wameniambia Hawataleta na wameniambia "Watanzania wapo kuboresha Maisha ya Watu unataka Gari la Nini!? Pesa wamechukua - Watanzania Mnafahamika Duniani Maamuzi yenu Super kila Nchi inayaunga Mkono

Kweli "Nchi Haiwezi kufanikiwa ikifanya Mambo yake pekeyake" Ogopa Mkono wa Tanzania Ukifanya Maamuzi

1724587821825.png
 
Vijana 2,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?
 
Vijana 3,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa masikini kwa lazima🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Vijana 3,000,000 wa tanzania hawana Ni masikini twende kwa pamoja kuwasifia..🙏🙏🙏🙏🙏. Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa masikini kwa lazima🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Vijana 5,000,000 wa tanzania hawana Wanaimwa na Wapo hospitalini twende kwa pamoja kuwasifia🙏🙏🙏🙏... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa Wanamatatizo kwa lazima🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Vijana 33,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia🙏🙏🙏🙏🙏... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?

La sivyo mtawaona kuwa Hawana Ajira kwa lazima🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 - Msomi ulieajiriwa lazima uteme hela


1724672890085.png
 

Attachments

  • IMG20240406125830.jpg
    IMG20240406125830.jpg
    3.1 MB · Views: 4
Back
Top Bottom