Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Hapa nimeelewa.Annual increment wamepata ajira ya mwaka jana, tena walipata mwezi June.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimeelewa.Annual increment wamepata ajira ya mwaka jana, tena walipata mwezi June.
NBC✓Kuna yoyote wa NBC ambae mzigo tayari.?
Wakajue Maisha ni magumu hatupo kusikiliza story za watumishi wa umma tuu
Wakajue watanzania wengi hawana Ajira
Wakajue ni kamchezo ka Tanzania pekeyakeee hata Japani hawafuatilii la sivyo (Angeagiza Gari Japani wangemdharau na lisingekuja Tanzania)

Wafukuzwe kazi kwa kosa la kutegemea mshahara
Hata wa NMB baadhi ya taasisi bado mpaka muda huu.Wengi walio NBC mpaka muda huu ni bila bila
Machinga Je!?
Mtanzania Hajaacha Bado UtumwaHata wa NMB baadhi ya taasisi bado mpaka muda huu.
Vijana 2,000,000 wa tanzania hawana Ajira twende kwa pamoja kuwasifia... Watu wanakazi ya kusubiria hela kiasi hicho zisipotoka je!?Hata wa NMB baadhi ya taasisi bado mpaka muda huu.
NdiyoYaani watumishi tarehe 21 tu hoi.
Vipi mliongezewa mshahara mwezi july ?