Bank gani NMB? Jana ulihusika kwenye maandamano kwa namna yoyote?Mkuu Hawa jamaa zako wamenitimua kazi Nini maana mpaka sasa salary ni empty
Ulifata nini huko?BOA bank wiki ijayo 🤣
Hahahaaha maandamano ni muhimu mkuu, na hapa penyewe niko kwenye maandamo karibu na tawi Moja la Nmb hapa mjiniBank gani NMB? Jana ulihusika kwenye maandamano kwa namna yoyote?
sio mm,Ulifata nini huko?
Achana nayosalary advance inazingua kote, ama ni kwangu tu? maana ni kama sielewi -elewi
unadhani ni kirahisi hivyo?Achana nayo
Hahahaaa. Karibu rafiki
Utakuwa umepanda darajaNimeona ongezeko la sh. 100,000/= mwezi huu katika basic salary. Sijajua ni annual increment au kitu kingine. Kuna yeyote aliyekutana na hili?
Hakuna nyongeza yoyoteNimeona ongezeko la sh. 100,000/= mwezi huu katika basic salary. Sijajua ni annual increment au kitu kingine. Kuna yeyote aliyekutana na hili?
Salary advance inatusaliti mwezi huu au 😁salary advance inazingua kote, ama ni kwangu tu? maana ni kama sielewi -elewi
Sawa, ila kwangu ipo na nimeshajua ni niniHakuna nyongeza yoyote