MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Nimemaliza kila kitu kwa hapa duniani sioni Kuna jipya nitakalofanya akheri nipumzikeAah, kifo kipo lakini haipendezi kukiweka kwenye mipango.
Uhakika kamanda.Bora umerudi mkuu tupambanie salary maana majuzi wewe ulivurugwa na mapenzi na Mimi Jana nimevurugwa na Simba.... Now tu-focus na salary
Babu utakula ulikopeleka mboga🤣🤣🤣Nakuombea Mpate huo mshahara mapema kabla ya Alhamisi wiki hii, ila naomba usikose kuninunulia japo Kiko mbili Babu yenu niburudishe moyo 😜
Si useme tu ni wewe mkuu🤣🤣🤣Kuna dogo alisema atanilipa ela yangu mshahara ukitoka. Tushtuane kikinuka.
Basi ngoja nikutumie hela ya mboga saivi ili mshahara ukitoka usinisahau Babu yako 😜Babu utakula ulikopeleka mboga🤣🤣🤣
Duh alikopa kufanya nnkwanza salary huwa kama ina majin flan hiv. cha kwanza ukishanunua nunua mahitaj ya ndan. ukitoa nauli ukitoa umeme ukitoa ges maji na emergency. kama utabak hata na 50k niite nipo palee. haibak chochote. wanaosema biashara hiasharq ooh nao ndio chenga.biashara gan unapkea 290k .usicheke hio 290k ndio jamaa yang mmoja anapata kwa vile ana Service deni aliwah kukopa benk so ajamaa anabak na 290k kila mwez.
Hayo ndio maneno sasa, ngoja nibandike ugali.Basi ngoja nikutumie hela ya mboga saivi ili mshahara ukitoka usinisahau Babu yako 😜
Lete namba tu nifanye jambo 🤗Hayo ndio maneno sasa, ngoja nibandike ugali.
Babu kwahiyo namba yangu ulifuta!! Nimelia sanaaa😭😭😭Lete namba tu nifanye jambo 🤗
Alhamisi mapema mkuuAisee mbona kimya
Sasa mkuu Alhamis jirani basi?Alhamisi mapema mkuu
Ndio hivyo mkuu, hazina wanasubiriwa tu kubonyeza button.Sasa mkuu Alhamis jirani basi?
Ila tarehe ni mpaka kesho au keshokutwa. Kwa leo ngumu sana, labda waamue kutudanganyishia uchaguzi wa serikali za mitaa.Hazina hawapo serious na maisha yetu kabisa.
Wanajeshi bado, wangekuwa wamepata jana, basi lengo ingekua kwa watumishi wengine.Ila tarehe ni mpaka kesho au keshokutwa. Kwa leo ngumu sana, labda waamue kutudanganyishia uchaguzi wa serikali za mitaa.
OK, ila alhamisi ni uhakikaWanajeshi bado, wangekuwa wamepata jana, basi lengo ingekua kwa watumishi wengine.
bravo kaka uwaga nachukizwa sana na watu wanaowasema vibaya watumishi wa umma wanapouliziaga haki zaoHivi kwanini watu msiokuwa watumishi wa umma mnakuwa na shobo na huu uzi sana? Lengo la kuanzishwa huu uzi ni kupeana updates za lini cheque number zetu zinafurahi basi! Ushauri wa kufungua biashara sijui miradi pelekeni jukwaa la biashara, kilimo na ujasiriamali! Hapa tunaulizia lini salary slip zetu zitaonyesha madeni yetu ya bank yalivyopungua, malipo yetu ya PAYE yalivyopokelewa, michango yetu ya Bima za afya ilivyopokelewa ili kenge kama nyie mtibiwe! Punguzeni ushauri, miradi tunayo na salary tunaitaka!
hii ngoma kesho jioni uwakikaIla tarehe ni mpaka kesho au keshokutwa. Kwa leo ngumu sana, labda waamue kutudanganyishia uchaguzi wa serikali za mitaa.
safi sana mzee wa salary slipWanajeshi bado, wangekuwa wamepata jana, basi lengo ingekua kwa watumishi wengine.