Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

kwanza salary huwa kama ina majin flan hiv. cha kwanza ukishanunua nunua mahitaj ya ndan. ukitoa nauli ukitoa umeme ukitoa ges maji na emergency. kama utabak hata na 50k niite nipo palee. haibak chochote. wanaosema biashara hiasharq ooh nao ndio chenga.biashara gan unapkea 290k .usicheke hio 290k ndio jamaa yang mmoja anapata kwa vile ana Service deni aliwah kukopa benk so ajamaa anabak na 290k kila mwez.
Duh alikopa kufanya nn
 
Ila tarehe ni mpaka kesho au keshokutwa. Kwa leo ngumu sana, labda waamue kutudanganyishia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Wanajeshi bado, wangekuwa wamepata jana, basi lengo ingekua kwa watumishi wengine.
 
Hivi kwanini watu msiokuwa watumishi wa umma mnakuwa na shobo na huu uzi sana? Lengo la kuanzishwa huu uzi ni kupeana updates za lini cheque number zetu zinafurahi basi! Ushauri wa kufungua biashara sijui miradi pelekeni jukwaa la biashara, kilimo na ujasiriamali! Hapa tunaulizia lini salary slip zetu zitaonyesha madeni yetu ya bank yalivyopungua, malipo yetu ya PAYE yalivyopokelewa, michango yetu ya Bima za afya ilivyopokelewa ili kenge kama nyie mtibiwe! Punguzeni ushauri, miradi tunayo na salary tunaitaka!
bravo kaka uwaga nachukizwa sana na watu wanaowasema vibaya watumishi wa umma wanapouliziaga haki zao
 
Back
Top Bottom