Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
NMB tayariNMB bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NMB tayariNMB bado
Mefurahi kaburi 😊!
Mshahara ni haki yake, Lazima apewe ndani ya muda, Namna nyingine zisifanye mshahara uchelewe.Huwa nawashangaa sana watumishi wa umma wa aina yako hivi kweli hamna namna nyingine ya kuishi nje ya mshahara kiasi kwamba mshahara ukichelewa siku moja tuu mayowe nchi nzima
🤣🤣🤣Mshahara ushaisha. Sasa Salary Advance.
Sure, leo tupewe chetuSo inakuwaje hapa wadau?
Hakika, tuende weekend tukiwa kamiliSure, leo tupewe chetu
Very interesting.Haaaaahaaaa yani uzi unanifurahisha yani kila tarehe husika utauona
Mbona tarehe 23 bado!Hakika, tuende weekend tukiwa kamili
J2 hiyo labda watoe leo , kesho weekend piaMbona tarehe 23 bado!
Poleni sanaVipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.