Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
😂😂Attachments za Nini Mzee mwendo wa mnyooko tu ....mi pepmis nna asilimia 100 na Sina attachment hata Moja kubaaabanyeeeeee.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Attachments za Nini Mzee mwendo wa mnyooko tu ....mi pepmis nna asilimia 100 na Sina attachment hata Moja kubaaabanyeeeeee.....
Toa account namba, jf matajiri tufanye jambo 😁Nimepauka sana sista. Fanya muhamala week iishe.
🤣🤣🤣🤣 Mbwa ni kiwakilishi 😹😹😹Hii ndio hali tuliyonayo watumishi mud huu, mbwa katuwakilisha tu.
Naam katuwakilisha tu hali zetu Hoi bin taaban🤣🤣🤣🤣 Mbwa ni kiwakilishi 😹😹😹
Nishakupm account ya nmb crdb mpesa tigo tigo pesaToa account namba, jf matajiri tufanye jambo 😁
Wangenidhulumu tu. Hata ukienda nalo wazo watajifanya wanalikataa na kisha wakalitekeleza. Watadai wao ndivyo wanavyofanyaga.Hii akili kubwa sana, ungeuza idea hii.
Nimekwambia hampati mpunga hadi 28. Huamini?I can confirm that, hadi sasa 6:42 PM, mshahara haujaingia.
Nina histoia mbaya sana na Vodacom, wayback. Niliishia kupewa router ya 3G yenye bando la 6 months.Wangenidhulumu tu. Hata ukienda nalo wazo watajifanya wanalikataa na kisha wakalitekeleza. Watadai wao ndivyo wanavyofanyaga.
Tatizo data hamna ni siri yao na mimi ngumu kuweka hati miliki kwenye idea kama hiyo.
Leo uhakika.Nimekwambia hampati mpunga hadi 28. Huamini?
Dadeki nipo kwa mangi bia ya sita ngoja nijifanye naenda kukojoa..acha deni la nyumaNimekwambia hampati mpunga hadi 28. Huamini?
Wanatucheka tu kwa dharauHadi saaa nyuzi za mishahara nimeziona kama 8.
Kikubwa anonymity inatubeba. Wanaotudhiaki ma jobless usiwaze manWanatucheka tu kwa dharau
Waambie achaneni na mimi..CRDB wamenitumia sms "swahiba tumekumisi"😃😃
Haha can't replyWaambie achaneni na mimi..