Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Nakopesha kwa riba ya 1% kwa principal amount. Muda wa mkopo ni week moja.
Nione PM.
 
Hii akili kubwa sana, ungeuza idea hii.
Wangenidhulumu tu. Hata ukienda nalo wazo watajifanya wanalikataa na kisha wakalitekeleza. Watadai wao ndivyo wanavyofanyaga.
Tatizo data hamna ni siri yao na mimi ngumu kuweka hati miliki kwenye idea kama hiyo.
 
Nina histoia mbaya sana na Vodacom, wayback. Niliishia kupewa router ya 3G yenye bando la 6 months.
 
Back
Top Bottom