Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Sisi wa crdb huyu mwigulu anatuonaje lakini?
20240621_114451.jpg
Nikifa kabla mshahara kuingia nafufuka kwanza niule ndio nikufe
 
Tukutane tena tarehe zetu pendwa mwezi wa saba
Mwezi ujao ni tarehe 30 kumbekeni ilo watumishi wa umma , alafu katika kipindi ichi kigum kwa kucheleweshewa mishahara yenu wapenda haki wamekua pamoja na nyie kupitia post mbali mbali so ni vyema pia watumishi wa umma kujitafakari , pale ambapo wapigania haki wanakua na hoja za msingi kuhusu taifa mnatakiwa shikamana nao
 
Mama Hana baya zile habari za kupata tarehe 28 hadi 30 ni uzushi, tuendelee na tarehe hizi hizi isizidi tarehe 25 sasa ni muda wa kutanua uchumi wa nchi.
Achana nao hao majobless man. Si tupige kazi man.
 
Umaskini ni mwingi sana.
Kama mtu anaweza kutwa wiki nzima analia mshahara hautoki basi wewe bado ni maskini wa kutupwa. Ina mana gafla itokee kazi hauna ina mana wewe ni wakusubir kufa tu na hata ukipata mafao itakua ni yale yale mana huna hata elimu biashara pesa zote zitateketea sababu uko kazin ulikua unakaa kizembe unaishi kwa mshaahara ukichelewa unalia kama kuku, ukitoka nusu yake unaenda kulipa madeni, nusu unaenda eti kujipongeza..
 
Back
Top Bottom