DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Hawa ccm wanapenda sana kutoa salary kimafungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmb mambo bado
Tuweke sawa hili jambo. Mishahara inatoka kwa batches, na kigezo sio account ya bank fulaniMbona wengine CRDB mpaka muda huu bila bila.
Dah tutamkumbuka mzee magu wa kwlTuweke sawa hili jambo. Mishahara inatoka kwa batches, na kigezo sio account ya bank fulani
Nimekusoma na muda huu pia salary imesoma kwanguTuweke sawa hili jambo. Mishahara inatoka kwa batches, na kigezo sio account ya bank fulani
Bank ganiNimekusoma na muda huu pia salary imesoma kwangu
CRDBBank gani
uongoNMB woyoooo
😂😂😂🙌 hatari..Maandamano!! Polisi tangu juzi wanapiga ukunga kama ambulance
😂 kuna watu washaimaliza tyrYaani wajamaa wanapenda kutuweka presha juu
Mkuu Hawa jamaa zako wamenitimua kazi Nini maana mpaka sasa salary ni emptyNikafate nini? Hapa J5 kesho najibless asubuhi supu, mchana nyama choma na jioni chapati na maini.
Mkuu saa ngapi imesoma kwako? Mbona nmb yangu haisomiHatimaye NMB umesoma... tuonane mwezi wa 10.