Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

bravo kaka uwaga nachukizwa sana na watu wanaowasema vibaya watumishi wa umma wanapouliziaga haki zao
Wapuuzi hawa wanatuona tuna njaa sana kumbe maisha yako sawa tu, hatujuani humu watu wapunguze ushauri tayari tuna mipango yetu. Tunasubiria mshahara sasa
 
Babu kwahiyo namba yangu ulifuta!! Nimelia sanaaa😭😭😭
Unajua Babu yako macho hayaoni vizuri, wakati wa kubonyeza bonyeza button nikakuta namba imejifuta

Fanya unitumie tena Mjukuu 🤗
 
Wapuuzi hawa wanatuona tuna njaa sana kumbe maisha yako sawa tu, hatujuani humu watu wapunguze ushauri tayari tuna mipango yetu. Tunasubiria mshahara sasa
kaka usikute wao wana maisha mabaya kinoma ila wamebakia kashfa tuu ndio wanaoongoza kutuomba beer bar
 
Alhamisi ya wapi? Mshahara ni Leo au kesho...
Itakuwa vyema sana, nimesema hivyo kwani ndio tarehe 24. Ila naona kwenye system inasoma. Yaani sasa hivi kwenye system uncleared balance salio linasoma, bado kubofya kitufe tu.
 
kwenye salary slip ama
 
Unajua Babu yako macho hayaoni vizuri, wakati wa kubonyeza bonyeza button nikakuta namba imejifuta

Fanya unitumie tena Mjukuu 🤗
Nimelia sana, hii taarifa inabidi bibi aipate, ili aingilie kati😭😭😭😭
 
Hahaha..................mambo mengine tuyamalize wawili tu, kwani hutaki nikulipie kile kikoba chako cha elfu 25 cha wiki 😜
 
Back
Top Bottom