Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

Tulien na kocha wenu wa real madrid[emoji23][emoji23]
 
Weka saraly slip za hao makocha tuone Kama akili zako zinafanya kazi sawasawa, inaonekana auko sawa kichwani wewe
 
Sawa makocha wa bei ndogo lakini pira kama 1.30bn hivi
 
Unalipa mpaka wacheza ndombolo wao wooote 🤣🤣🤣🤣
 
Kocha wa mchongo akalipwe million 250,!! kweli mbumbumbu fc wazee wa fix. Yaani thamani ya Klabu bilion 20. Alafu kocha alipwe 250 milioni ,mapato ya mwaka ya Simba bilion 3 kweli Tanzania tuna safari ndefu katika soka.
 
Kizembe zembe tu mshahara wake ujulikane?

Eti m250 [emoji1787][emoji1787]

Haya tuambie signing fee yake ilikua shingapi?
 
Yaani hili nalo la kusifia?? Hivi mbona hamnyamazi mkaficha ujinga wenu kuliko kuongea mkadhirisha upumbavu? Mna tofauti gani na Msukuma anayeuziwa jezi feki ya Manchester Utd kisa tu ina jina la Ronaldo mgongoni?
 
Mods anzisheni jukwaa la matahira na vilaza ...

Watu Kama hawa viazi wanakuwa jukwaa lao ...
 
Kolo bana unahangaika sanaaa na wanaume wa jangwani!!mlipeni hata bil moja , ubingwa unakuja jangwani na tukikutana na ww kolo fc kichapo pale pale!!pumbaf
 
Hiki ndio mmebakiza uwanjani pasha kua pagumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…