Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka saraly slip za hao makocha tuone Kama akili zako zinafanya kazi sawasawa, inaonekana auko sawa kichwani weweAwali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari Mishahara yake ya Miezi 6.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.
Pira la 1000 buku haya kikombe alichokupa NABI ni kipi ??? 🤣🤣🤣🤣Sawa makocha wa bei ndogo lakini pira kama 1.30bn hivi
Yaani hili nalo la kusifia?? Hivi mbona hamnyamazi mkaficha ujinga wenu kuliko kuongea mkadhirisha upumbavu? Mna tofauti gani na Msukuma anayeuziwa jezi feki ya Manchester Utd kisa tu ina jina la Ronaldo mgongoni?Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari Mishahara yake ya Miezi 6.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.
$14000 ni sawa na 35 million ....
Kolo bana unahangaika sanaaa na wanaume wa jangwani!!mlipeni hata bil moja , ubingwa unakuja jangwani na tukikutana na ww kolo fc kichapo pale pale!!pumbafAwali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari Mishahara yake ya Miezi 6.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.
Hiki ndio mmebakiza uwanjani pasha kua pagumuAwali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari Mishahara yake ya Miezi 6.
Yafuatayo ni Malipo ya Mishahara ya Masikini Watano wa Twiga na Jangwani....
1. Nabi...Tsh Milioni 2 na Laki 5
2. Kaze...Tsh Laki 9 na Elfu 75
3. Zahera...Tsh Laki 5 na Elfu 50
4. Manara...Tsh Laki 1 na Elfu 65
5. Bumbuli..Tsh Elfu 75 na 250 tu
Karibu sana Simba SC Kocha Pablo.
Wewe ni Yanga??[emoji23][emoji23][emoji23]Upuuzi mtupu. Mnaendelea kujitekenya na kucheka wenyewe...
Kha!kha!, Jealous will kill youWhat a stupid post from a moron.