STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Messi is talented man, ana deserve hicho kiasi. Nimeangalia michuano ya euro 2020, sikuona mchezaji yoyote hapo ulaya anaye karibia kipaji cha messiIla duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki 2 kwa mwezi anakuzungusha View attachment 1853499
Mkuu acha utani huoni Rashford alivyo kiwasha..😜😜😂😂Messi is talented man, ana deserve hicho kiasi. Nimeangalia michuano ya euro 2020, sikuona mchezaji yoyote hapo ulaya anaye karibia kipaji cha messi
Griezman nate hayupo mbali, hawa jamaa Wana Management mbovu sijawahi ona.Ila duh hii dunia tunaishi tofauti sana, ukiachana na hio miradi yake anayopiga hela, pound 1.2 Million a week ndio mshahara wake kwa euro ndio zinazodi zaidi ya hizo, leo bossi wako kukulipa laki 2 kwa mwezi anakuzungusha View attachment 1853499
Management mbovu au nzuri? hao jamaa kwa pesa wanazolipwa wanaweza wasicheze mpira tena wakawa vichaa kabisa, lakini kwa hizo management walizonazo bado wanacheza match za ushindani tena kwa kiwango cha juu kabisa miaka yote.Griezman nate hayupo mbali, hawa jamaa Wana Management mbovu sijawahi ona.
Messi Mkataba wake ni mkubwa sana Aisee, ulileak jamaa anakula zaidi ya Euro milioni 500. Yeye na Griezman ndio wameifilisi Barca.Huyu kiumbe apewe tu anastahili
Acha Basi We Mzee...Mkuu acha utani huoni Rashford alivyo kiwasha..😜😜😂😂
Barcelona na Madrid zinaongozwa kama Simba na yanga. Kunakuwa na Uchaguzi wanachagua mwenyekiti.Management mbovu au nzuri? hao jamaa kwa pesa wanazolipwa wanaweza wasicheze mpira tena wakawa vichaa kabisa, lakini kwa hizo management walizonazo bado wanacheza match za ushindani tena kwa kiwango cha juu kabisa miaka yote.
Mkuu griezman unamchukulia poa ?? ..Barcelona na Madrid zinaongozwa kama Simba na yanga. Kunakuwa na Uchaguzi wanachagua mwenyekiti.
Hivyo kutaka misifa kwa mashabiki sometime wanaspend hela nje ya Uwezo wao, na wanatoa promise ambazo hazitekelezeki.
Barcelona wamefanya transfer mbovu na kulipa mishahara mikubwa sana. Kama unafuatilia mpira utaona Transfer za kina Coutinho, Dembele, Griezman etc zimekuja zaidi ya Euro 300M.
Griezman eti anapata mshahara 800K kwa week, wachezaji wakali No 10 Duniani kama Bruno, DE bruyne, Muller etc hawafikii Hata nusu ya Huo mshahara, Even Neymar anausikia Kwenye Redio tu.
Ana maajabu yapi sasa, kakifanya nini hapo barca!? Upepo wake umekata, yule alikuwa na upepo.. Nikikwambia utaje wachezaji walau 100 wenye maajabu kwa miongo walau mi3 ama mi5 basi naamini griezmann anaweza asiwemo
Kwa wote niliowataja Wana Impact kwenye Timu zao kuliko Griezman, na Dunia hii Ukitoa Messi na Ronaldo hakuna Anaedeserve huo Mshahara.
Ndio kama mimi huwa siielewi, nikijaribu kutafakari hicho kiasi cha pesa, halafu nikipokee kwa wiki huwa naona kama uwezo wangu wa kuvuta picha jinsi inavyokuwa unafika kikomo🤣Hayo mamishahara ya hao jamaa niliamuaga zamani kuyasoma na kuyaacha kama yalivyo, sitaki tena kuyatafakari sana ni kujipasua kichwa bure, kama hata wazungu huko ulaya wanaishangaa itakuwaje kwangu mie wa bongo uswahilini!.
Mkuu,mshahara wa Messi wa wiki moja tu kwa mfanyakazi wa kawaida atafanya kazi maisha yake yote pamoja na kiinua mgongo chake ila hatofikia kiasi cha pesa cha wiki moja tu anachopata Messi.Ndio kama mimi huwa siielewi, nikijaribu kutafakari hicho kiasi cha pesa, halafu nikipokee kwa wiki huwa naona kama uwezo wangu wa kuvuta picha jinsi inavyokuwa unafika kikomo🤣
Na huyo mfanyakazi akitaka aongezee mtoto wake na mjukuu wafanye kazi kweli kweli mpaka wastaafu bado hawataingiza hicho kiwangoMkuu,mshahara wa Messi wa wiki moja tu kwa mfanyakazi wa kawaida atafanya kazi maisha yake yote pamoja na kiinua mgongo chake ila hatofikia kiasi cha pesa cha wiki moja tu anachopata Messi.
🤣🤣🤣🤣