Barcelona na Madrid zinaongozwa kama Simba na yanga. Kunakuwa na Uchaguzi wanachagua mwenyekiti.
Hivyo kutaka misifa kwa mashabiki sometime wanaspend hela nje ya Uwezo wao, na wanatoa promise ambazo hazitekelezeki.
Barcelona wamefanya transfer mbovu na kulipa mishahara mikubwa sana. Kama unafuatilia mpira utaona Transfer za kina Coutinho, Dembele, Griezman etc zimekuja zaidi ya Euro 300M.
Griezman eti anapata mshahara 800K kwa week, wachezaji wakali No 10 Duniani kama Bruno, DE bruyne, Muller etc hawafikii Hata nusu ya Huo mshahara, Even Neymar anausikia Kwenye Redio tu.