Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barida tu, kwani shilingi ngapiRuwasa hawana hela mpk labda mwakani
Congrats JOHNMe nishawapotezea
Maana nimepata za utumishi
Halafu mzee ukawa unawapanga wenzako tarehe za majina kutoka hahaha ujue ndege JOHN we miyeyusho sana.Dah poleni Sana ndugu zangu nahisi bajeti haikupangwa ndo maana ila sijui shida Nini maana tangazo lilikuwa rasmi kbs
Vip we ushapata sehemu nyingine?Dah poleni Sana ndugu zangu nahisi bajeti haikupangwa ndo maana ila sijui shida Nini maana tangazo lilikuwa rasmi kbs
Nimepata za utumishiVip we ushapata sehemu nyingine?
Itakuwa wame cancel hip program labda hela hamna ruwasa hawakupangiwa fungu..bahati nzuri nikabahatisha ajira kutoka kwa katibu wizara hiihii ya maji ndo maana nimefurahi zimwi la ruwasa nimeliruka...Kuna jamaangu Yuko cwbos moja Tanga wilayani muheza huko ye Ni supervisor jumuiya Yao kubwa Ana mafundi watano...anakunja mpk Mia nane kwa Mwezi...mwingine Yuko chamwino anapata 150000 makusanyo Yao madogo mno.Halafu mzee ukawa unawapanga wenzako tarehe za majina kutoka hahaha ujue ndege JOHN we miyeyusho sana.
daaaaah me natafta hata sehemu ya jumuia, maana nimesugua benchi 2yearsItakuwa wame cancel hip program labda hela hamna ruwasa hawakupangiwa fungu..bahati nzuri nikabahatisha ajira kutoka kwa katibu wizara hiihii ya maji ndo maana nimefurahi zimwi la ruwasa nimeliruka...Kuna jamaangu Yuko cwbos moja Tanga wilayani muheza huko ye Ni supervisor jumuiya Yao kubwa Ana mafundi watano...anakunja mpk Mia nane kwa Mwezi...mwingine Yuko chamwino anapata 150000 makusanyo Yao madogo mno.