Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Unazeeka vibaya
 
Doh, same mindset
Nasubiria kusikia Kwa mindset ingine jamaa
 
Umkimbie tena uende wapi πŸ₯΄

Kwani umpendea Pesa ?

Tafuteni Plan B hiyo ni changamoto ya kawaida .
 
Jaman maisha ya kausha damu magumu nyie
Hata Mungu hapendi maisha ya chini ujue
 
2
200000 watu wanaingiza Kwa masaa wengine Kwa sku ,
 
Ukiondoa hiyo 200K ya huyo jamaa what do you (dada wa watu) offer kwenye mahusiano hayo apart from Nyapu (probably inaweza kuwa inanuka pia/ haina maintainance)??
Sasa ulikuja kutukana akina mama au kumsaidia dada WA watu??
Kwan nyie wanaume mna shida ya Afya ya akili au??
Au nawe unalipwa laki 2?!
Sehemu za siri kila.mtu Anazo, na matumizi take yasikufanye utukane
 
Kimbia kabisa [emoji1787][emoji1787]
Japo inaonekana mpenzi wako ndio kitega uchumi chako, tafuta hela yako usitegemee za wengine

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…