Mshahara wa mpenzi wangu NI TSH 200,000 Kwa mwezi, nikae au nimkimbie?

Kuna jamaa nimetoka kumshauri asije akajikoroga kuoa pisi masikini aka zenye vipengele kwa sababu kama hizi tu... Yaani salary ya mwamba pisi inajewekea na hesabu zake humohumo inajipimia ikiona haikai inatafuta chocho sasa ndo mahusiano gani hayo???
Aisee, akasemaje mwamba?!
 
Akasema hata hivyo shida zake zinamtosha hataki matatizo mengine kwenye maisha yake
KiruπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ pole
 
Mwulize yeye kwani anaingiza sh ngapi kwa mwezi?
 
Wanaume ndio maana tunazeeka mapema sana, hapo unahitaji akufikishe kileleni, akupende, akutunze, atunze watoto, ndugu zako n.k. Tutafika mbinguni tumechoka sana.
 
Unataka kuniambia kipindi mwanaume amemtongoza huyo mwanamke alikuwa hajampenda nikimaanisha alimtaka kupozea tu ili akipate pesa amwache,inaweza ikawepo lakini sitaki kuamini kwamba wanaume wote tupo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuniambia kipindi mwanaume amemtongoza huyo mwanamke alikuwa hajampenda nikimaanisha alimtaka kupozea tu ili akipate pesa amwache,inaweza ikawepo lakini sitaki kuamini kwamba wanaume wote tupo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe hauko hivyo ni wewe, wanaume wengi husema wao wenyewe kuwa wanapokuwa broke hutafuta wanawake wa level zao ili mradi tu maisha yaende na wakiwa rich ndio wanatafuta sasa wanawake wa type zao, huwa nawashangaa sana wanaume mnapojiona innocent kana kwamba ninyi hamuwezi kuwafanyia ushenzi wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…