Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Mshahara wa mwezi Desemba 2020 vipi?

Kharidi analalamika , Gangana nae analazimisha.
Nimeingiza kadi yangu ya NBCmastercard ATM ya crdb nikaomba kutoa 500,000 /= ikakubari nikajua wamo!

Nashangaa naambiwa sina salio, wakati nilianza kupiga hesabu naanzia kwa mangi nipate supu ya mkia na castel lite mbili baridi ndo nifike home!!
Hizi huduma za mastercard zitakuja kuongeza ugonjwa maana hapa natoka hata ya daradara sina tena.
 
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi.
Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM .

Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi.
Kwa walio na simbank tujuzani.
Nipo NBC.
Na nikukumbushe tu... mwezi wa kwanza kuna ada.
 
Hata usiingie (mshahara)vile vihela nuksi ndo maana sivishobokei
 
Wadau vipi ka salary ka mwezi huu wa pesa hazitoshi.

Wenzangu mmekaona? Tuambizane maana hapa nina buku tu la bodaboda kunipeleka kwa ATM.

Nikizikoswa ndo yatakuwa majanga zaidi.

Kwa walio na simbank tujuzani.

Nipo NBC.
Kwani mwezi si bado kuisha mzee.au unaulizia salary advance?
 
Back
Top Bottom