Mshahara wa mwezi Februari mbona umechelewa?

Tuwe siriasi jamani hivi bado huja toka wengine tumekopa mpaka viwalo vya kutokea mjini
 
Acha kazi fanya biashara mahahara utowaza tena
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv huwa hawaoni kalenda hawa watu wakaandaa mishahara mapema?Jiwe na hazina yako mnasumbua watumishi kuja kutukopa wakati madeni ya nyuma hawajalipa, yani hapa nina ATM 6 ukitoka nishtueni tukalipane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabody hivi mishahara ya serikali itaingia lini maana mpaka jana ilikuwa bado mtujue wanaoelewa mzunguko wa mwezi huu
 
Wanabody hivi mishahara ya serikali itaingia lini maana mpaka jana ilikuwa bado mtujue wanaoelewa mzunguko wa mwezi huu
Tuko kwenye laiti tlaki...

Subirini kwanza tumalize Stigla Goji... Infakti sisi ni dona kantle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…