Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

Tuliwaonya mapema kujiandaa kiakili na pia kisaikolojia! Lakini hamkutusikia.
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚, Mzeeh pesa za mishahara zinajulikana sana,salary nyingi baada ya makato ya Serikali zinakuwa na chenji(nadhani umeelewa nachomaanisha hapa) Apart from that Salary(Take home)ya Dingi wangu naijua mkuu
 
Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa

Upo benki gani, boss maana NMB Bado huku
 
Ndio mmeshapewa hayo makubwa muishi nayo na ni makubwa kwelikweli
 
Bado tunasubiri ngoma haijaitika mkuu
 
M

Mkuu tuwe na imani na ahadi ya Mheshimiwa, anatujali sana ujue!
Mtumishi amegeuka mwarabu ili Utawala huu umjali. Wao mbele kwa mbele na mwarabu watumishi mtajijua wenyewe.. kina wenyewe na wenyewe ni waarabu !!
 
Sidhani kama tutaweza kufika huko,
Mtumishi amegeuka mwarabu ili Utawala huu umjali. Wao mbele kwa mbele na mwarabu watumishi mtajijua wenyewe.. kina wenyewe na wenyewe ni waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…